Mshambuliaji Kylian Mbappe akiifungia Ufaransa bao la nne dakika ya 87 usiku wa jana Uwanja wa Zimbru mjini Chisinau ikiwalaza wenyeji, Moldova 4-1 katika mchezo wa ufunguzi Kundi H kufuzu Euro 2020. Mabao mengine ya Ufarana yalifungwa na Antoine Griezmann dakika ya 24, Raphael Varane dakika ya 27 na Olivier Giroud dakika ya 36, wakati la Moldova lilifungwa na Vladimir Ambros dakika ya 89 na mchezo mwingine wa Kundi H, Iceland pia imeshinda ugenini 2-0 dhidi ya Andorra Uwanja wa Taifa mjini Andorra la Vella, mabao ya kiungo Birkir Bjarnason dakika ya 22 na mshambuliaji Vioar Orn Kjartansson dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Rockets Rumors: De'Aaron Fox Trade Pursuit Not 'Automatic' If Star Is Made
Available
-
The Houston Rockets have been one of the biggest revelations of the 2024-25
NBA season but may need to add a star player to be a true championship
contender.…
28 minutes ago
0 comments:
Post a Comment