Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Liverpool dakika za 26 na 84 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya wenyeji, Bayern Munich kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Bao lingine la limefungwa na Virgil van Dijk dakika ya 69, wakati la Bayern Munich Joel Matip alijifunga dakika ya 39 na kwa ushindi huo, Liverpool inakwenda Robo Fainali kwa ushindi wa jumla wa 3-2 baada ya sare ya 0-0 kwenye mchezo wa kwanza England PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Why Wests Tigers coach Benji Marshall is sick and tired of the Lachlan
Galvin saga - 'why would I care what people say'
-
A frustrated Benji Marshall has declared he doesn't care if people query
his surprise decision to recall Lachie Galvin ahead of the Wests Tigers'
clash wit...
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment