Mshambauliaji wa Manchester City, Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia timu yake mabao mawili dakika ya 35 kwa penalti na 38 katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Schake 04 kwenye mchezo wa marudiano hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Etihad mjini Manchester. Mabao mengine yamefungwa na Leroy Sane dakika ya 42, Raheem Sterling dakika ya 56, Bernardo Silva dakika ya 71, P. Foden dakika ya 78 na Gabriel Jesus dakika ya 84 na kwa matokeo hayo Man City inatinga robo fainali kwa ushindi wa jumla wa 10-2 baada ya awali kushinda 3-2 ugenini PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Deebo Samuel reveals what it really feels like to lose a Super Bowl
-
The wide receiver has reached the pinnacle of the NFL on two occasions in
recent seasons with the Niners but has failed to lift the Lombardi Trophy
every t...
59 minutes ago
0 comments:
Post a Comment