Sergio Aguero na Bernardo Silva wakishangilia pamoja baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-0 wa Manchester City dhidi ya Fulham kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Craven Cottage mjini London. Silva alifunga dakika ya tano na Aguero dakika ya 27 na kwa ushindi huo, Man City inafikisha pointi 77 baada ya kucheza mechi 31, ikirejea kileleni mwa Ligi Kuu England, sasa ikiizidi pointi moja Liverpool ambayo kesho itamenyana na Tottenham Hotspur Uwanja wa Anfield PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Deebo Samuel reveals what it really feels like to lose a Super Bowl
-
The wide receiver has reached the pinnacle of the NFL on two occasions in
recent seasons with the Niners but has failed to lift the Lombardi Trophy
every t...
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment