Raheem Sterling akifurahia baada ya kufunga bao la tano dakika ya 80 katika ushindi wa 5-1 wa England dhidi ya Montenegro kwenye mchezo wa Kundi A kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Pod Goricom mjini Podgorica. Mabao mengine ya England yalifungwa na Michael Keane dakika ya 30, Ross Barkley mawili dakika za 38 na 59 na Harry Kane dakika ya 71, wakati bao pekee la Montenegro limefungwa na Marko Vesovic dakika ya 17. Mechi nyingine ya Kundi A, Kosovo imelazimishwa sare ya 1-1 na Bulgaria mjini Pristina na sasa England inaongoza kundi hilo kwa pointi zake sita baada ya kushinda mechi zote mbili ikifuatia na Bulgaria yenye pointi mbili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Revealed: Antonio Rudiger could be hit by staggering ban following Copa Del
Rey meltdown in dramatic loss to Barcelona as even the German FA slam his
'unacceptable' behaviour
-
The defender lost his cool and received a red card for throwing an ice pack
towards referee Ricardo de Burgos Bengoetxea after arguing against a
decision i...
30 minutes ago
0 comments:
Post a Comment