Kiungo wa Chelsea, N'Golo Kante (kushoto) akiwania mpira wa juu dhidi ya wachezaji wa Everton, Idrissa Gueye (juu) na Andre Gomes (kulia) katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa Goodison Park. Everton ilishinda 2-0, mabao ya Richarlison dakika ya 49 na Gylfi Sigurdsson dakika ya 71 kwa penalti na kwa ushindi huo The Toffees wanafikisha pointi 40 baada ya kucheza mechi 31, ingawa wanabaki nafasi ya 11, wakati Chelsea inayobaki na pointi zake 57 za mechi 30, inabaki nafasi ya sita PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Deebo Samuel reveals what it really feels like to lose a Super Bowl
-
The wide receiver has reached the pinnacle of the NFL on two occasions in
recent seasons with the Niners but has failed to lift the Lombardi Trophy
every t...
15 minutes ago
0 comments:
Post a Comment