Robert Lewandowski (kulia) akifurahia baada ya kuifungia Bayern Munich mabao mawili dakika za 37 na 85 katika ushindi wa 6-0 dhidi ya Wolfsburg kwenye mchezo wa Bundesliga usiku wa Jumamosi Uwanja wa Allianz Arena mjini Munich. Mabao mengine yamefungwa na Serge Gnabry dakika ya 34, James Rodríguez dakika ya 52, Thomas Müller dakika ya 76 na Joshua Kimmich dakika ya 82 na kwa ushindi huo, Bayern Munich inafikisha pointi 57 baada ya kuheza mechi 25 na kupanda kileleni mwa Bundesliga sasa ikiizidi kwa weastani wa mabao tu Borussia Dortmund inayofuatia nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Aussie teenage sprint sensation Gout Gout clocks world-leading 200m time in
stunning run
-
Aussie teenage sprint sensation Gout Gout has stunned fans in Brisbane by
clocking the quickest 200m time in the world this year.
38 minutes ago
0 comments:
Post a Comment