Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la pili kwa penalti dakika ya 69 baada ya Fred kumuangusha Alexandre Lacazette kwenye boksi katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Manchester United leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates mjini London na kumaliza rekodi ya kocha ya kocha mpya, Ole Gunnar Solskjaer kutofungwa kwenye ligi hiyo tangu achukue nafasi ya Jose Mourinho aliyefukuzwa. Bao la kwanza la Arsenal limefungwa na kufuatia Granit Xhaka dakika ya 12 na kwa ushindi huo, Washika Bunduki wa London wanarejea nafasi ya nne wakifikisha pointi 60 baada ya kucheza mechi 30, sasa wakiizidi kwa pointi mbili Manchester United inayorudi nafasi ya tano ikiizidi pointi moja tu Chelsea iliyocheza mechi 29 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
PHOTOS: Black Stars hold second training session ahead of Chad encounter on
Friday
-
The Black Stars of Ghana held a second training session on Tuesday, March
18, to continue with preparation ahead of their encounter against Chad.The
male s...
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment