
Sunday, March 31, 2019

Cesar Azpilicueta (kushoto) na Ruben Loftus-Cheek (kulia) wakishangilia baada ya kuifungia Chelsea mabao ya dakika za lala salama ikitoak...
BOCCO APIGA MBILI, KAGERE MOJA SIMBA SC YAIPIGA MBAO FC 3-0 LIGI KUU MOROGORO
Sunday, March 31, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM SIMBA SC imeendeleza furaha kwa mashabiki wake baada ya ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Mbao FC kwenye mche...
SERIKALI YAZIAGIZA BMT NA TFF ZIHAKIKISHE UCHAGUZI YANGA UNAFANYIKA NDANI YA SIKU 30
Sunday, March 31, 2019
Na Shamimu Nyaki –WHUSM SERIKALI imeliagiza Baraza la Michezo la Taifa (BMT) kushirikiana na Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) kuhakikisha...
SAMATTA ATOA PASI YA BAO LA KWANZA KRC GENK YAITANDIKA MABAO 3-0 ANDERLECHT
Sunday, March 31, 2019
Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta usiku wa jana ametoa pasi ya bao la kwanza na kuonyeshw...
MESSI APIGA ZOTE MBILI BARCELONA YAICHAPA ESPANYOL 2-0 LA LIGA
Sunday, March 31, 2019
Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Barcelona dakika ya 71 na 89 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Espanyol kwenye mchez...
Saturday, March 30, 2019
MAN UNTED WAICHAPA WATFORD 2-1 OLD TRAFFORD
Saturday, March 30, 2019
Marcus Rashford akiteleza kushangilia baada ya kuifungia Manchester United bao la kwanza dakika ya 28, kabla ya Anthony Martial kufunga l...
MAN CITY YAREJEA KILELENI ENGLAND BAADA YA KUIPIGA FULHAM 2-0
Saturday, March 30, 2019
Sergio Aguero na Bernardo Silva wakishangilia pamoja baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-0 wa Manchester City dhidi ya Fulham kweny...
KINDOKI APANGUA PENALTI MBILI KUIPELEKA YANGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF
Saturday, March 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, MWANZA KIPA Klaus Kindoki amepangua penalti mbili na kuiwezesha Yanga SC kwenda Nusu Fainali ya michuano ya Kombe la Sh...
WANACHOTAKIWA KUFANYA YANGA KATIKA WAKATI HUU MGUMU KWAO
Saturday, March 30, 2019
Na Frederick Daudi, DAR ES SALAAM KWA siku za karibuni timu ya Yanga SC imekuwa ikikabiliwa na timbwili kuanzia kwa uongozi, benchi la ufu...
Friday, March 29, 2019
AZAM FC YATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUIPIGA 1-0 KAGERA SUGAR KAITABA
Friday, March 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, BUKOBA TIMU ya Azam FC imetinga Nusu Fainali ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Fe...
MSUVA AIFUNGIA BAO LA KUSAWAZISHA DIFAA EL-JADIDI YATOA SARE 1-1 NA WYDAD CASABLANCA
Friday, March 29, 2019
Na Mwandishi Wetu, CASABLANCA KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva jana aliinusuru timu yake, Difaa Hassan ...
Thursday, March 28, 2019
SOLSKJAER ASAINI MKATABA WA MIAKA MITATU MAN UNITED
Thursday, March 28, 2019
Ole Gunnar Solskjaer amesaini mkataba wa miaka mitatu kuendelea na kazi Manchester United PICHA ZAIDI GONGA HAPA MANCHESTER UNITE...
SERENGETI BOYS YATUA KIGALI KUSHIRIKI MICHUANO MAALUM KUJIANDAA NA AFCON U17
Thursday, March 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, KIGALI KIKOSI cha timu ya taifa ya soka ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys kimewasili salama mjini Kig...
Wednesday, March 27, 2019
KAPTENI MKUCHIKA AUNDA KAMATI MBILI YANGA, APENDEKEZA UCHAGUZI MKUU APRILI 28
Wednesday, March 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BARAZA la Wadhamini la klabu ya Yanga leo limeunda Kamati ya Usimamizi wa timu, chini ya Mwenyekiti, Mash...
RAIS WA TFF WALLACE KARIA AWASHUKURU WATANZANIA KUIUNGA MKONO TAIFA STARS
Wednesday, March 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania(TFF), Wallace Karia ametoa shukrani za dhati kwa Serikali, Taasisi Mb...
KMC NA LIPULI FC ZATINGA NUSU FAINALI KOMBE LA AZAM SPORTS FEDERATION
Wednesday, March 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU za KMC ya Kinondoni na Lipuli ya Iringa leo zimefanikiwa kuingia Nusu Fainali ya michuano ya Kombe l...
GARDIEL MICHAEL ATIMKIA NCHINI AFRIKA KUSINI KUFANYA MAJARIBIO SUPERSPORT UNITED
Wednesday, March 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI wa kushoto wa Yanga SC, Gardiel Michael Mbaga ameondoka leo mjini Dar es Salaam kwenda kufanya majar...
LUKUMAY NA NYIKA ‘WABWAGA MANYANGA’ YANGA WAMKABIDHI TIMU KAPTENI MKUCHIKA
Wednesday, March 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM VIONGOZI wawili waliokuwa wamebaki madarakani Yanga SC, kaimu Mwenyekiti Samuel Lukumay na Mjumbe, Hussei...
KUELEKEA MECHI YA TAIFA STARS NA THE CRANES MACHI 24, 2018
Wednesday, March 27, 2019
CORREA APIGA BAO PEKEE ARGENTINA YAICHAPA MOROCCO 1-0
Wednesday, March 27, 2019
Angel Correa akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Argentina dakika ya 83 ikiwalaza wenyeji, Morocco 1-0 katika mchezo wa kirafiki us...
JESUS APIGA MBILI BRAZIL YAICHAPA 3-1 CZECH KIRAFIKI PRAHA
Wednesday, March 27, 2019
Gabriel Jesus akishangilia baada ya kuifungia Brazil mabao mawili dakika za 83 na 90 ikiichapa Jamhuri ya Czech 3-1 kwenye mchezo wa kira...
MORATA APIGA ZOTE HISPANIA YAICHAPA 2-0 MALTA KUFUZU EURO
Wednesday, March 27, 2019
Mshambuliaji Alvaro Morata akishangilia baada ya kuifungia mabao yote Hispania dakika za 31 na 73 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Malta kw...
QUAGLIARELLA APIGA MBILI ITALIA YASHINDA 6-0 KUFUZU EURO 2020
Wednesday, March 27, 2019
Mkongwe Fabio Quagliarella akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Italia dakika za 35 na 45 na ushei yote kwa penalti katika ushind...
ABDALLAH KHERI 'SEBO' AONGEZA MKATABA WA MIAKA MITATU AZAM FC HADI 2022
Wednesday, March 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BEKI kisiki wa kati wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Abdallah Kheri maarufu kama Sebo...
Tuesday, March 26, 2019
RONALDO AUMIA, URENO SARE TENA KUFUZU EURO 2020
Tuesday, March 26, 2019
Mshambuliaji wa Ureno, Cristiano Ronaldo akiugulia maumivu jana wakati wa mchezo wa Kundi B kufuzu Euro 2020 dhidi ya Serbia usiku wa jan...
UFARANSA YAICHAPA 4-0 ICELAND KUFUZU EURO 2020
Tuesday, March 26, 2019
Kikosi cha Ufaransa kabla ya mchezo wa Kundi H kufuzu Euro 2020 dhidi ya Iceland usiku wa jana Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Ufa...
ENGLAND YAENDELEZA UBABE KUFUZU EURO 2020, YASHINDA 5-1
Tuesday, March 26, 2019
Raheem Sterling akifurahia baada ya kufunga bao la tano dakika ya 80 katika ushindi wa 5-1 wa England dhidi ya Montenegro kwenye mchezo w...
Monday, March 25, 2019
RAIS MAGUFULI ALIPOKUTANA NA WACHEZAJI WA TAIFA STARS IKULU
Monday, March 25, 2019
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dk. John Pombe Magufuli akizungumza na Wachezaji wa timu ya taifa, Taifa Stars aliowa...
Subscribe to:
Posts (Atom)