Luis Suarez akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake akiwemo, Lionel Messi wakimpongeza baada ya kufunga mabao mawili dakika za 50 na 73 kwa penalti katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Real Madrid lingine Raphael Varane akijifunga dakika ya 69 kwenye mchezo wa marudiano wa Nusu Fainali ya Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Bernabeu. Barcelona inatinga fainali kwa ushindi wa jumla wa 4-1 baada ya sare ya 1-1 kwenye mchezo wa kwanza Uwanja wa Camp Nou Februari 6, mwaka huu na sasa itakutana na mshindi wa jumla kati ya Real Betis na Valencia zinazokutana usiku wa leo baada ya kutoa sare ya 2-2 kwenye mechi ya kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
40 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment