Beki wa Yanga SC, Zana Coulibally akimtoka beki wa Gardiel Michael katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara jana Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Simba ilishinda 1-0.
Kiungo wa Simba SC, Jonas Mkude akimiliki mpira mbele ya wachezaji wa Yanga, Feisal Salum na Amissi Tambwe
Wachezaji wa Simba SC, Mohammed Hussein 'Tshabalala' (kushoto) na Juuko Murshid (kulia) wakipambana na Amissi Tambwe wa Yanga (katikati)
Kiungo wa Simba SC, James Kotei (kushoto) akitoa pasi pembeni ya kiungo wa Yanga, Feisal Salum (kulia)
Paulo Godfrey wa Yanga akienda chini baada ya kuchezewa rafu na Mohammed Hussein 'Tshabalala'
Mashabiki wa Simba SC wakifurahia jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Simba SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Yanga SC kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Eid-el-Fitr: Zamfara Governor preaches unity, peace
-
From Agaju Madugba, Katsina Governor Dauda Lawal has appealed to the people
of Zamfara State to continue to embrace unity and peace as well as reflect
de...
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment