Mshambuliaji Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia Paris Saint-Germain bao la tano dakika ya 79 ikiichapa Montpellier 5-0 katika mchezo wa Ligue 1, Ufaransa usiku wa jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Layvin Kurzawa dakika ya 13, Angel Di Maria dakika ya 45 na ushei, Christopher Nkunku dakika ya 73 na Hilton aliyejifunga dakika ya 78 huku Mbappe akifikisha mabao 20 msimu huu katika mechi 19 za Ligue 1, sawa na mshambuliaji Mtanzania, Mbwana Samatta wa KRC Genk aliyefunga mabao 20 pia katika ligi ya Ubelgiji hadi sasa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How to watch Arsenal v Fulham live on TV
-
Find out how to watch Tuesday's game against Fulham wherever you are in the
world
2 minutes ago
0 comments:
Post a Comment