Ross Barkley na Olivier Giroud wakipongezana baada ya wote kuifungia Chelsea katika ushindi wa ugenini wa 2-1 dhidi ya Malmo kwenye mchezo wa kwanza hatua ya 32 Bora Europa League usiku wa jana Uwanja wa Swedbank mjini Malmo. Barkley alifunga dakika ya 30 na Giroud dakika ya 58 kabla ya Anders Christiansen kuifungia Malmo dakika ya 80, huku kocha Maurizio Sarri akishusha presha PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
54 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment