Mshambuliaji wa Juventus, Cristiano Ronaldo (kulia) akitafuta namna ya kumpita kiungo wa Atletico Madrid, Saul katika wa kwanza hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Wanda Metropolitano mjini Madrid, Hispania. Atletico Madrid walishinda 2-0, mabao ya Jose Gimenez dakika ya 78 na Diego Godin dakika ya 83 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Report: United Women 2 Everton 0
-
Marc Skinner's Reds go into the April international break with a win that
takes us closer to European qualification.
29 minutes ago
0 comments:
Post a Comment