Sokratis Papastathopoulos akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao la tatu dakika ya 60 ikiilaza BATE Borisov 3-0 Uwanja wa Emirates mjini London usiku wa jana katika mchezo wa hatua ya 32 Bora UEFA Europa League. Mabao mengine ya Arsenal yalifungwa na Zakhar Volkov aliyejifunga dakika ya nne na Shkodran Mustafi dakika ya 39 na kwa matokeo hayo, Arsenal inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 3-1 kufuatia kufungwa 1-0 kwenye mchezo wa kwanza nchini Belarus PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
39 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment