Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City kwa penalti dakika ya 59 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United usiku wa jana Uwanja wa Etihad na kwa matokeo hayo mabingwa hao watetezi wanafikisha pointi 68 katika mechi ya 28 wakiendelea kuzidiwa pointi moja na vinara Liverpool PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How to watch Arsenal v Fulham live on TV
-
Find out how to watch Tuesday's game against Fulham wherever you are in the
world
12 minutes ago
0 comments:
Post a Comment