
Thursday, February 28, 2019

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI chipukizi wa kimataifa wa Tanzania, John Tibar George jana ameondoka nchini kwenda kujiunga ...
IDDI NADO APIGA BAO LA KUOMBEA RADHI MBEYA CITY BAADA YA ‘KUWATOA’ KOMBE LA TFF
Thursday, February 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, MBEYA MSHAMABULIAJI chipukizi nchini, Iddi Suleiman ‘Naldo’ jana alifunga bao pekee dakika ya 55, timu yake Mbeya City ...
SUAREZ APIGA MBILI BARCELONA YAICHAPA REAL MADRID 3-0
Thursday, February 28, 2019
Luis Suarez akiwa amezingirwa na wachezaji wenzake akiwemo, Lionel Messi wakimpongeza baada ya kufunga mabao mawili dakika za 50 na 73 kw...
CHELSEA YAONYESHA BADO IMARA, YAICHAPA SPURS 2-0 DARAJANI
Thursday, February 28, 2019
Pedro akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 57 kabla ya Kieran Trippier kujifunga dakika ya 84 kuwapa ushindi w...
OZIL NA MKHITARYAN WOTE WAFUNGA ARSENAL IKISHINDA 5-1
Thursday, February 28, 2019
Henrik Mkhitaryan (kushoto) na Mesut Ozil wote wakishangilia baada ya kuifungia Arsenal katika ushindi wa 5-1 dhidi ya AFC Bournemouth kw...
AGUERO AFUNGA KWA PENALTI MAN CITY YAICHAPA 1-0 WEST HAM
Thursday, February 28, 2019
Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City kwa penalti dakika ya 59 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya West Ham United usi...
LUKAKU AFUNGA MAWILI MAN UNITD IKIICHAPA CRYSTAL PALACE 3-1
Thursday, February 28, 2019
Mshambuliaji Romelu Lukaku akifurahia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya 33 na 52 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya...
SADIO MANE APIGA MBILI LIVERPOOL YAITANDIKA 5-0 WATFORD
Thursday, February 28, 2019
Mshambuliaji Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia Liverpool mabao mawili dakika ya tisa na 20 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Watfor...
Wednesday, February 27, 2019
IDDI CHECHE AFICHUA SIRI YA MAFANIKIO YAKE KILA AKIPEWA MAJUKUMU AZAM FC
Wednesday, February 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KOCHA wa muda wa Azam FC, Idd Nassor Cheche, amefunguka kuwa jambo kubwa linalombeba kila akikabidhiwa ti...
DI MARIA APIGA MBILI PSG IKIICHAPA 3-0 DIJON LIGUE 1
Wednesday, February 27, 2019
Muargentina, Angel Di Maria akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Paris Saint-Germain FC ikiibuka na ushindi wa 3-0 dhidi ya Dijon...
ALLIANCE WAHAMISHIE MAFANIKIO YAO YA DARASANI KATIKA SOKA
Wednesday, February 27, 2019
Na Frederick Daudi, DAR ES SALAAM NI matumaini yangu kwamba mnaendelea vizuri na shughuli za hapa na pale hasa za kimichezo na masomo. Kam...
JAPOKUWA AZAM FC NA YANGA ZINAPEWA NAFASI KUBWA ASFC, LAKINI…
Wednesday, February 27, 2019
Na Frederick Daud, DAR ES SALAAM KAMA kuna kitu ambacho Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limefanya vizuri, ni kutoa nafasi ya bingwa wa k...
KICHUYA ATOKEA BENCHI BADO DAKIKA 10 ENNPI YACHAPWA 3-1 SASA INASHIKA MKIA MISRI
Wednesday, February 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Shizza Ramadhani Kichuya jana ametokea benchi dakika 10 za ...
LIPULI FC 1-3 SIMBA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Wednesday, February 27, 2019
Tuesday, February 26, 2019
FIFA YAMFUNGIA MAISHA REFA WA TANZANIA KWA RUSHWA NA UPANGAJI MATOKEO
Tuesday, February 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KAMATI ya Maadili ya Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA) chini ya Mwenyekiti wake, Vassilios Skouris i...
SIMBA SC YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA LIPULI FC 3-1 SAMORA
Tuesday, February 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, IRINGA SIMBA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuwachapa wenyeji, Lipuli FC 3-1...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MOSES MKANDAWILE
Tuesday, February 26, 2019
Monday, February 25, 2019
AZAM FC YAIPIGA RHINO RANGERS 3-0 NA KUTINGA ‘NANE BORA’ KOMBE LA TFF
Monday, February 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Azam FC imekamilisha hatua ya 16 Bora ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), ...
HIMID MAO AFUNGUA AKAUNTI YA MABAO PETROJET IKISHINDA 2-0 UGENINI MISRI
Monday, February 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, CAIRO KIUNGO wa kimataifa wa Tanzania, Himid Mao Mkami leo amefunga bao lake la kwanza kabisa katika klabu ya Petrojet ...
NAMUNGO FC 0-1 YANGA SC (KOMBE LA TFF)
Monday, February 25, 2019
MAN CITY WAIPIGA CHELSEA KWA MATUTA NA KUBEBA KOMBE LA LIGI
Monday, February 25, 2019
Wachezaji wa Manchester City wakifurahia na taji lao la Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup baada ya ushindi wa penalti 4-3 k...
BENZEMA, BALE WAFUNGA KWA PENALTI REAL YAICHAPA LEVANTE 2-1
Monday, February 25, 2019
Mshambuliaji Mfaransa, Karim Benzema akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Real Madrid dakika ya 43 kabla ya Gareth Bale kufunga ...
Sunday, February 24, 2019
ARSENAL YASHINDA 2-0 NA KUREJEA 'NNE BORA' ENGLAND
Sunday, February 24, 2019
Henrikh Mkhitaryan akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Arsenal dakika ya 17 kufuatia Alexandre Lacazette kufunga la kwanza dakika...
MAN UNITED YATOKA SARE 0-0 NA LIVERPOOL LEO OLD TRAFFORD
Sunday, February 24, 2019
Mshambuliaji wa Manchester United, Marcus Rashford (kushoto) akiwatoka wachezaji wa Liverpool Sadio Mane na Virgil van Dijk katika mchezo...
YANGA SC YATINGA ROBO FAINALI KOMBE LA TFF BAADA YA KUITOA NAMUNGO RUANGWA
Sunday, February 24, 2019
Na Mwandishi Wetu, RUANGWA VIGOGO, Yanga SC wamefanikiwa kuingia Robo Fainali ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), m...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MAO MKAMI
Sunday, February 24, 2019
SIMBA IKIMTUMIA IPASAVYO KAGERE ATAKUWA MFUNGAJI BORA LIGI KUU
Sunday, February 24, 2019
Na Frederick Daudi, DAR ES SALAAM Miongoni mwa binadamu hatari kwa sasa kwenye ligi kuu ya Tanzania ni Meddie Kagere. Mnyarwanda huyu amek...
MSUVA AFUNGA MABAO MAWILI DIFAA HASSAN EL JADIDI YASHINDA 2-0 LIGI YA MOROCCO
Sunday, February 24, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Simon Happygod Msuva usiku wa jana amefunga mabao yote mawi...
MALOTA ALIVYOMKOSAKOSA PAUL RWECHUNGURA KIRUMBA 1991
Sunday, February 24, 2019
KIPA Paul Rwechungura wa Pamba SC akiwa amedaka mpira mbele ya mshambuliaji wa Simba SC, Malota Soma ‘Ball Jagler’, huku beki James Washo...
EUBANK JR AMSHINDA KWA POINTI DEGALE NA KUTWAA TAJI LA IBO
Sunday, February 24, 2019
Refa Michael Alexander (kulia) akimzuia bondia Chris Eubank Jnr asiendelee kumpiga mpinzani wake, James DeGale usiku wa jana katika pamba...
Saturday, February 23, 2019
MESSI APIGA HAT-TRICK BARCELONA YASHINDA 4-2 LA LIGA
Saturday, February 23, 2019
Mshambuliaji Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia hat-trick Barcelona kwa mabao yake ya dakika za 26, 67 na 85 mara mbili ikitoak...
SINGIDA UNITED YATINGA ROBO FAINALI ASFC BAADA YA KUIPIGA COASTAL UNION 1-0
Saturday, February 23, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM BAO la kujifunga la Kennedy Kipepe dakika ya tano limeipa ushindi wa 1-0 Singida United dhidi ya Coastal ...
AZAM FC YAWAFUKUZA PLUIJM NA MWAMBUSI BAADA YA KIPIGO CHA SIMBA JANA TAIFA
Saturday, February 23, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Azam FC imeachana na kocha Mholanzi, Hans van der Pluijm pamoja na Msaidizi wake, mzawa Juma Mwa...
MTIBWA SUGAR YAVULIWA UBINGWA ASFC, YAPIGWA KWA PENALTI 4-3 NA KMC CHAMAZI
Saturday, February 23, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM TIMU ya Mtibwa Sugar imevuliwa ubingwa wa michuano ya Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maaru...
Subscribe to:
Posts (Atom)