Beki Muivory Coast wa Simba SC, Serge Wawa Pascal akimtoka mchezaji wa Bandari FC ya Mombasa leo katika mchezo wa Nusu Fainali ya SportPesa Super Cup leo Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam. Bandari FC imeshinda 2-1.
![]() |
Wachezaji wa Bandari FC wakishangilia baada ya kupata bao la pili na la ushindi leo |
0 comments:
Post a Comment