Nyota wa Argentina, Lionel Messi akishangilia na Jordi Alba baada ya kuifungia Barcelona bao la pili dakika ya 68 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Girona kwenye mchezo wa La Liga jana Uwanja wa Manispaa ya Montilivi mjini Girona kufuatia Nelson Semedo kufunga la kwanza dakika ya tisa. Kwa ushindi huo, Barca inafikisha pointi 49 na kuendelea kuongoza La Liga kwa pointi 10 zaidi ya mahasimu wao, Real Madrid walio katika nafasi ya tatu, nyuma ya Atletico Madrid wenye pointi 44 baada ya timu zote kucheza mechi 21 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eid-el-Fitr: Zamfara Governor preaches unity, peace
-
From Agaju Madugba, Katsina Governor Dauda Lawal has appealed to the people
of Zamfara State to continue to embrace unity and peace as well as reflect
de...
49 minutes ago
0 comments:
Post a Comment