Gabriel Jesus akishangilia kwa ishara ya kupiga simu baada ya kuifungia Manchester City bao la kwanza dakika ya 23 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Burnley leo kwenye mchezo wa Raundi ya Nne Kombe la FA England leo Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Manchester City yamefungwa na Bernardo Silva dakika ya 52, Kelvin De Bruyne dakika ya 61, Kevin Long aliyejifunga dakika ya 73 na Sergio Aguero kwa penalti dakika ya 85 na kwa ushindi huo timu ya Pep Guardiola inakwenda Raundi ya Tano ya michuano hiyo PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Captain's Column: Maya keen to maintain momentum
-
United Women's objective today is to beat Everton and take a win into the
international break, says Maya.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment