Mbrazil Philippe Coutinho akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Barcelona katika ushindi wa 6-1 wa Barcelona dhidi ya Sevilla kwenye mchezo wa marudiano wa Robo Fainali Kombe la Mfalme Hispania usiku wa jana Uwanja wa Camp Nou. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Ivan Rakitic dakika ya 31, Sergi Roberto dakika ya 54, Luis Suarez dakika ya 89 na Lionel Messi dakika ya 90 na ushei, wakati bao pekee la Sevilla lilifungwa na Guilherme Arana dakika ya 67. Barcelona inasonga mbele kwa ushindi wa jumla wa 6-3 kufuatia kufungwa 2-0 kwenye mchezo wa kwanza PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Colts' Jonathan Taylor's 218 Yards, 3 TDs Wow NFL Fans Amid Fantasy
Football Playoffs
-
Indianapolis Colts star running back Jonathan Taylor had a monster day in
the team's win over the Tennessee Titans, and fantasy football managers who
have ...
42 minutes ago
0 comments:
Post a Comment