Federico Chiesa akiwa ameshika mpira wake baada ya kupiga hat-trick kwa mabao yake ya dakika za saba, 18 na 74 katika ushindi wa 7-1 wa Fiorentina dhidi ya AS Roma kwenue mchezo wa Robo Fainali Coppa Italia usiku wa jana Uwanja wa Artemio Franchi mjini Firenze. Mabao mengine ya Fiorentina yalifungwa na Giovanni Simeone mawili dakika za 79 na 89, Luis Muriel dakika ya 33 na Marco Bennassi dakika ya 66, wakati la AS Roma iliyompoteza mchezaji wake, Edin Dzeko aliyetolewa kwa kadi nyekundu dakika ya 72 tena baada ya kutokea benchi kuchukua nafasi ya Javier Pastore kipindi cha pili lilifungwa na Aleksandar Kolarov dakika ya 28 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Jack Grealish 'slapped in the face by Man United fan': Man, 20, is arrested
and charged with assault - in new crowd shame after vile Phil Foden mum
chants
-
EXCLUSIVE BY MIKE KEEGAN: Jack Grealish was making his way off the field
following Sunday's 0-0 draw when he was beckoned over by a member of the
crowd.
57 minutes ago
0 comments:
Post a Comment