// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); LEOPARDS WALIVYOJIFUA LEO DAR KUJIANDAA NA KOMBE LA SPORTPESA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE LEOPARDS WALIVYOJIFUA LEO DAR KUJIANDAA NA KOMBE LA SPORTPESA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Sunday, January 20, 2019

        LEOPARDS WALIVYOJIFUA LEO DAR KUJIANDAA NA KOMBE LA SPORTPESA

        Mshambuliaji Mtanzania wa AFC Leopards ya Kenya, Marcel Kaheza akizungumza na Waandishi wa Habari leo Uwanja wa JMK Park, eneo la Gerezani mjini Dar es Salaam wakati wa mazoezi ya timu yake kujiandaa na michuano ya tatu ya Kombe la SportPesa inayotarajiwa kuanza Januari 22 hadi 27 mwaka huu Uwanja wa Taifa mjini Dar es Salaam   
        Wachezaji wa AFC leopards wakifanya mazozi leo JMK Park kujiandaa na michuano ya SportPesa 
        Kocha wa AFC Leopards akitoa maelekezo kwa mchezaji wake leo JMK Park 
        Marcel Kaheza aliyejiunga na AFC Leopards mwezi uliopita kutoka Simba SC akiwa mazoezini leo   
        Wachezaji wa AFC Leopards wakifurahia leo Uwanja wa JMK Park 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: LEOPARDS WALIVYOJIFUA LEO DAR KUJIANDAA NA KOMBE LA SPORTPESA Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry