Tuesday, December 31, 2019
SIMBA SC ‘YAWATISHA WATANI’, YAWACHAPA NDANDA FC 2-0 WAFUNGAJI KAHATA NA DEO KANDA
Tuesday, December 31, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza ubabe katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 2-0 d...
Monday, December 30, 2019
YANGA SC YAJISOGEZA NYUMA KABISA YA SIMBA SC LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA BIASHARA UNITED 1-0
Monday, December 30, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM YANGA SC imepanda hadi nafasi ya pili kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0...
MSHAMBULAJI YIKPE GILSLAIN GNAMIEN KUTOKA IVORY COAST ASAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI KUJIUNGA NA YANGA SC
Monday, December 30, 2019
Mshambuliaji wa zamani wa Gor Mahia ya Kenya Muivory Coast, Yikpe Gilslain Gnamien akisaini mkataba wa miaka miwili kujiunga na Yanga SC ...
DE BRUYNE ASETI MOJA, AFUNGA MOJA MAN CITY YAICHAPA SHEFFIELD 2-0
Monday, December 30, 2019
Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la pili dakika ya 82 akitoka kumpasia Sergio Aguero kufunga la kwanza...
Sunday, December 29, 2019
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA MUSTAPHA HOZA
Sunday, December 29, 2019
CHELSEA YAIKANYAGA ARSENAL 2-1 PALE PALE EMIRATES
Sunday, December 29, 2019
Mshambuliaji Tammy Abraham akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la ushindi dakika ya 87 ikiwalaza wenyeji, Arsenal 2-1 katika mche...
MANE AFUNGA BAO PEKEE LIVERPOOL YAILAZA WOLVES 1-0 ANFIELD
Sunday, December 29, 2019
Mshambuliaji Msenegal, Sadio Mane akishangilia baada ya kuifungia bao pekee Liverpool dakika ya 49 ikiwalaza Wolverhampton Wanderers 1-0 ...
TATIZO LA KMC NI KUJIKUNA KWENYE UNYAYO BADALA YA KICHWANI
Sunday, December 29, 2019
Na Mustafa Mtupa, DAR ES SALAAM IKIWA ni siku ya Jumatatu tulivu kabisa majira ya saa nne kamili za usiku nikiwa nipo katika moja ya Usafi...
NCHIMBI ANA HAMU NA KAZI, LAKINI YANGA ISHAWEKA MAMBO SAWA ACHEZE KESHO DHIDI YA BIASHARA?
Sunday, December 29, 2019
Mshambuliaji mpya wa Yanga SC, Ditram Nchimbi akiwa hoi baada ya mazoezi magumu gym mjini Dar es Salaam jana. Bado haifahamiki kama Ditra...
CHIRWA AING'ARISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 POLISI TANZANIA LEO MOSHI, NAMUNGO NAYO YAIPIGA JKT
Sunday, December 29, 2019
Mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa akishangilia baada ya kuifungia timu hiyo bao pekee dakika ya tisa ikiwalaza wenyeji, Polis...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA SAID MSHAMU, MSHAMBULIAJI WA ZAMANI WA MAJI MAJI
Sunday, December 29, 2019
KMC 0-2 SIMBA SC (LIGI KUU YA TANZANIA BARA)
Sunday, December 29, 2019
DAVIS AMUANGUSHA MARA TATU GAMBOA NA KUMPIGA KWA TKO
Sunday, December 29, 2019
Bondia Mmarekani, Gervonta 'Tank' Davis (kushoto) akirejea kwenye kona yake baada ya kumuangusha Yuriorkis Gamboa (kulia) kwa mar...
MAN UNITED YASHINDA 2-0 NA KUPANDA NAFASI YA TATU ENGLAND
Sunday, December 29, 2019
Wachezaji wa Manchester United wakipongezana kwa ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Burnley, mabao ya Anthony Martial dakika ya 44 na Marcu...
KIKOSI CHA SIGARA 1991 MWANGATA NA NYALUSI YEYOTE ANADAKA
Sunday, December 29, 2019
WACHEZAJI wa kikosi cha Sigara FC kabla ya moja ya mechi zake mwaka 1991 kutoka kulia waliosimama; Patrick Mwangata, Idd Nassoro ‘Cheche’...
Saturday, December 28, 2019
SIMBA SC YAZIDI ‘KUPOTELEA MBALI’ KILELENI LIGI KUU BARA BAADA YA KUIPIGA KMC 2-0 LEO
Saturday, December 28, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendelea kuwapa raha mashabiki wao baada ya ushindi wa 2-0 dhidi ya KMC ji...
EDERSON ALIMWA NYEKUNDU MAPEMA, MAN CITY YACHAPWA 3-2
Saturday, December 28, 2019
Refa Martin Atkinson akimuonyesha kadi nyekundu kipa wa Manchester City, Ederson dakika ya 12 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara ...
TANZANIA PRISONS 0-1 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA))
Saturday, December 28, 2019
Friday, December 27, 2019
YANGA SC YASOGEA ‘ANGA ZAKE’ LIGI KUU BAADA YA KUICHAPA TANZANIA PRISONS 1-0 SAMORA
Friday, December 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, IRINGA YANGA SC imepanda hadi nafasi ya tatu kwenye msimamo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa 1-0 dhidi ...
MSENGI WA KMC ASAINI MIAKA MITATU KUJIUNGA NA STELLENBOSCH YA LIGI KUU AFRIKA KUSINI
Friday, December 27, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KIUNGO mkabaji chipupizi wa Tanzania, Ally Msengi amesajiliwa na klabu ya Stellenbosch ya Ligi Kuu Afrika...
LIVERPOOL 'MOTO FIRE' YAILIPUA LEICESTER 4-0 PALE PALE KING POWER
Friday, December 27, 2019
Beki wa Liverpool, Trent Alexander-Arnold akishangilia kibabe mbele ya mashabiki wao baada ya kufunga bao la nne dakika ya 78 akimalizia ...
Thursday, December 26, 2019
ARSENAL YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA AFC BOURNEMOUTH
Thursday, December 26, 2019
Kiungo Mjerumani, Mesut Ozil akimtoka Mcolombia, Jefferson Lerma kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Vitality mjini AFC Bournemouth....
CHELSEA WAPIGWA 2-0 NA SOUTHAMPTON PALE PALE DARAJANI
Thursday, December 26, 2019
Nathan Redmond akipongezwa na wenzake baada ya kuifungia Southampton bao la pili dakika ya73 kufuatia Michael Obafemi kufunga ka kwanza d...
MARTIAL APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA NEWCASTLE 4-1
Thursday, December 26, 2019
Anthony Martial akishangilia baada ya kuifunga mabao mawili Manchester United dakika za 24 na 51 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Newcastle...
COASTAL UNION YAINYAMAZISHA AZAM FC, YAICHAPA 1-0 MKWAKWANI BAO PEKEE LA HAJI UGANDO
Thursday, December 26, 2019
Beki na Nahodha wa Coastal Union, Bakari Nondo Mwamnyeto (kulia) akimdhibiti mshambuliaji Mzambia wa Azam FC, Obrey Chirwa katika mchezo ...
MECHI YA YANGA NA TANZANIA PRISONS YAHAMISHIWA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA KESHO
Thursday, December 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baina ya wenyeji, Tanzania Prisons na Yanga SC ya Dar es Salaam uliok...
MAREFA WA BURUNDI KUICHEZESHA TANZANIA DHIDI YA UGANDA KUFUZU KOMBE LA DUNIA WANAWAKE U20
Thursday, December 26, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MCHEZO wa kufuzu Kombe la Dunia Uganda dhidi ya Tanzania Wanawake U20 utachezeshwa na Waamuzi kutoka Buru...
SIMBA SC 4-0 LIPULI FC (LIGI KUU TANZANIA BARA))
Thursday, December 26, 2019
KWA MADUDU HAYA YA MAREFA WETU, TUSUBIRI HIYO JANUARI 4
Thursday, December 26, 2019
Na Mustafa Mtupa, DAR ES SALAAM Hakika ilikuwa ni siku ambayo mvua iliishibisha vilivyo ardhi kwa kuipa maji mpaka mengine yakawa hayana p...
Wednesday, December 25, 2019
SIMBA SC YAENDELEZA ‘UMWAMBA’ LIGI KUU YA TANZANIA BARA, YAITANDIKA LIPULI FC 4-0 UHURU
Wednesday, December 25, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Simba SC wameendeleza ‘dozi’ baada ya leo kuwachapa Lipuli FC ya Iringa 4-0 katika mch...
Tuesday, December 24, 2019
NCHIMBI ALIVYOWASILI OFISI MPYA, JANGWANI LEO NA KESHO ANAKWENDA KUUNGA NA KIKOSI CHA YANGA MBEYA KUANZA KAZI RASMI
Tuesday, December 24, 2019
Katibu Mkuu Dk. David Ruhago leo akimkaribisha mchezaji Ditram Nchimbi kwenye makao Makuu ya klabu, Jangwani Jijini Dar es Salaam leo, ta...
ATHANAS MDAMU ASAINI MKATABA WA MWAKA MMOJA NA NUSU KUJIUNGA NA POLISI TANZANIA
Tuesday, December 24, 2019
Winga Athanas Mdamu akikabidhiwa jezi ya Polisi Tanzania FC baada ya kusaini mkataba wa mwaka mmoja na nusu kujiunga na timu hiyo akitoke...
'SIMBA ONE' AISHI MANULA ALIVYO 'FITI' KUELEKEA MCHEZO WA KESHO WA LIGI KUU NA LIPULI FC
Tuesday, December 24, 2019
Kipa namba moja wa Simba SC, Aishi Manula akipangua mpira mazoezini leo Viwanja vya Mo Simba Arena, Bunju mjini Dar es Salaam kujiandaa n...
FRANK DOMAYO 'CHUMVI' ASAINI MKATABA MPYA WA KUENDELEA KUICHEZEA AZAM FC HADI MWAKA 2022
Tuesday, December 24, 2019
Nahodha Msaidizi wa Azam FC, Frank Domayo 'Chumvi' akisaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuitumikia timu hiyo hadi mwak...
MBEYA CITY 0-0 YANGA SC (LIGI KUU TANZANIA BARA)
Tuesday, December 24, 2019
YANGA SC YATOA SARE YA PILI MFULULIZO LIGI KUU, YATOKA 0-0 NA MBEYA CITY LEO SOKOINE
Tuesday, December 24, 2019
Na Mwandishi Wetu, MBEYA YANGA SC imetoa sare ya pili mfululizo leo katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kumaliza mchezo bila kufunga...
Monday, December 23, 2019
DIRISHA DOGO ANASAJILIWA NDAMA BADALA YA NG'OMBE WA MAZIWA!
Monday, December 23, 2019
Na Mustafa Mtupa, DAR ES SALAAM WAKATI nikiwa nipo likizo baada ya mihangaiko ya takribani miezi kadhaa kazini nikiwa nimeenda kijijini ki...
AZAM FC YAITOA KWA MATUTA AFRICAN LYON NA KUTINGA HATUA YA 32 BORA MICHUANO YA ASFC
Monday, December 23, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MABINGWA watetezi, Azam FC wamekamilisha Hatua ya 64 Bora Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maa...
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA HASHIM 'RAMSEY' KAMBI
Monday, December 23, 2019
SIMBA SC 6-0 AFC ARUSHA (KOMBE LA TFF)
Monday, December 23, 2019
SAMATTA AINGIA BADO DAKIKA 28 LAKINI KRC GENK YATANDIKWA 2-0 LIGI YA UBELGUJI
Monday, December 23, 2019
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ametokea benchi nusu saa ya mwisho, timu ...
Subscribe to:
Posts (Atom)