Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi jana jioni mjini Kitwe, Zambia baada ya kuwasili kwa ajili ya mchezo wa kwanza hatua ya mwisho ya mchujo wa kuwania tiketi ya kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wenyeji, Nkana FC Jumapili
Kocha wa Simba SC, Mbelgiji Patrick Aussems (kulia) akiwapa maelekezo wachezaji wake kabla ya kuanza mazoezi
Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi jana jioni mjini Kitwe, Zambia baada ya kuwasili
Wachezaji wa Simba SC wakifanya mazoezi jana jioni mjini Kitwe kujiandaa na mchezo wa Jumapili
Mwenyeji wao; Kiungo wa Simba SC, Mzambia Clatous Chama wakati timu inawasili Kitwe jana
Kiungo hodari wa Simba SC, Jonas Mkuse baada ya timu kuwasili Kitwe
Mshambuliaji tegemeo la Simba SC, Mganda Emmanuel Okwi baada ya timu kuwasili Kitwe
Kutoka kushoto kipa Deo Munishi 'Dida', beki Muivory Coast, Serge Wawa Pascal na Nahodha, mshambuliaji John Bocco
Waghana kiungo James Kotei na beki Asante Kwasi nyuma
Kocha Patrick Aussems akifanya mahojiano na Waandishi wa Habari mjini Kitwe jana
Luke Humphries bites back at Peter Wright with brutal jibe about Scottish
star's career as build-up to their last-16 clash at the World Darts
Championship turns sour
-
Wright, who at 54 is 25 years his adversary's senior, has two world titles
to his name - in 2020 and 2022 - but is currently ranked 19th in the world.
Hump...
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment