Kiungo chipukizi wa England, Jadon Sancho wa Borussia Dortmund (kushoto) akimtoka mshambuliaji wa Borussia Monchengladbach, Thorgan Hazard jana katika mchezo wa Bundesliga Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Borussia Dortmund ilishinda 2-1, mabao yake yakifungwa na Sancho dakika ya 42 na Marco Reus dakika ya 54, wakati la Monchengladbach lilifungwa na Christoph Kramer dakika ya 45 na ushei. Kwa ushindi huo, Dortmund wanaendelea kuongoza Bundesliga kwa pointi tisa zaidi, 42 kwa 33 dhidi ya Monchengladbach PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Eubank outpoints bitter rival Benn in classic fight
-
Chris Eubank Jr narrowly beats bitter foe Conor Benn as one of Britain's
most rancorous and long-running boxing rivalries lives up to the hype.
26 minutes ago
0 comments:
Post a Comment