Roberto Firmino akipongezwa na wachezaji wenzake, Jordan Henderson (kushoto), Xherdan Shaqiri (wa pili kuia) na Mohamed Salah baada ya kuifungia Liverpool mabao matatu dakika za 14, 16 na 65 kwa penalti katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Arsenal kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Anfield. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Sadio Mane dakika ya 32 na Salah dakika ya 45 na ushei wakati la Arsenal limefungwa na Ainsley Maitland-Niles dakika ya 11 na kwa ushindi huo, Wekundu wa Anfield wanafikisha pointi 54 baada ya kucheza mechi 20, sasa wakiwazidi kwa pointi 10 mabingwa watetezi, Manchester City na pointi tisa, Tottenham Hotspur wanaofuatia nafasi ya pili PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Liverpool still need new blood' - where will Slot strengthen?
-
Liverpool must still rebuild with major signings despite winning the
Premier League, says BBC Sport chief football writer Phil McNulty.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment