Sunday, December 16, 2018

    DANNY INGS AFUNGA MAWILI SOUTHAMPTON YAIPIGA 3-2 ARSENAL

    Kipa wa Southampton, Alex McCarthy akiokoa dhidi ya mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa St. Mary's. Southampton imeshinda 3-1 mabao yake yakifungwa na Danny Ings mawili dakika za 20 na 44 na Charlie Austin dakika ya 85, wakati ya Arsenal yamefungwa na Henrikh Mkhitaryan dakika za 28 na 53 

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: DANNY INGS AFUNGA MAWILI SOUTHAMPTON YAIPIGA 3-2 ARSENAL Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry