Mshambuliaji wa Chelsea, Alvaro Morata akimruka beki wa Vidi wakati wa mchezo wa Kundi L Europa League usiku wa Alhamisi Uwanja wa Groupama Arena mjini Budapest uliomalizika kwa sare ya 2-2.
Mabao ya Vidi yamefungwa na Ethan Ampadu aliyejifunga dakika ya 32 na Loic Nego dakika ya 56, wakati ya Chelsea yalifungwa na Willian dakika ya 30 na Olivier Giroud dakika ya 75.
Chelsea imemaliza na pointi 16, mbele ya BATE iliyomaliza na pointi tisa wakizipiku Vidi iliyomaliza na pointi saba na PAOK pointi tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA

0 comments:
Post a Comment