Pierre-Emerick Aubameyang akishangilia baada ya kuifungia Arsenal mabao mawili dakika za 14 na 48 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Burnley leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Emirates. Bao lingine limefungwa na Alex Iwobi dakika ya 90 na ushei, wakati bao pekee la Burnley limefungwa na Ashley Barnes dakika ya 63 na kwa uishindi huo, Arsenal inafikisha pointi 37 sawa na Chelsea iliyo nafasi ya nne baada ya zote kucheza mechi 18, zikiwa nyuma ya Tottenham Hotspur yenye pointi 39 za mechi 17, Manchester City pointi 44 mechi 18 na Liverpool pointi 48 mechi 18 pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
England's Smith likely to miss first two ODIs v India
-
Wicketkeeper Jamie Smith is likely to miss England's first two one-day
internationals against India but is expected to be fit for the Champions
Trophy.
10 minutes ago
0 comments:
Post a Comment