Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi Kuu ya England uliomalizika kwa sare ya 1-1 jana Uwanja The AMEX. Arsenal walitangulia kwa bao la Aubameyang dakika ya saba, kabla ya Jurgen Locadia kuisawazishia Brighton dakika ya 35 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
The day Lukaku looked like the next Drogba
-
BBC Sport looks back at Romelu Lukaku's performance on this day eight years
ago when the Belgian scored four goals in a 6-3 win for Everton against
Bournem...
9 minutes ago
0 comments:
Post a Comment