
Monday, December 31, 2018

Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU bingwa ya soka Tanzania Bara, Simba SC itaondoka Jumatano ya Januari 2, mwakani kwenda Zanzibar kwa...
YANGA SC YAAMUA KUWEKEZA NGUVU ZAIDI KWENYE LIGI KUU YA NA KOMBE LA TFF
Monday, December 31, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM KLABU ya Yanga SC ya Dar es Salaam imesema kwamba haitapeleka kikosi chake kamili kwenye michuano ya Komb...
Sunday, December 30, 2018
POGBA APIGA MBILI MAN UNITED YAICHAPA BOURNEMOUTH 4-1
Sunday, December 30, 2018
Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia Manchester United mabao mawili dakika ya tano na 33 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya AFC Bournem...
KANTE AING'ARISHA CHELSEA YAICHAPA CRYSTAL PALACE 1-0
Sunday, December 30, 2018
Kiungo N'Golo Kante akipongezwa na wachezaji wenzake, Ross Barkley na Eden Hazard baada ya kuifungia bao pekee Chelsea dakika ya 51 i...
MAN CITY YAZINDUKA NA KUICHAPA SOUTHAMPTON 3-1
Sunday, December 30, 2018
Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia Manchester City bao la tatu dakika ya 45 na ushei katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Southampto...
IDDI PAZI 'FATHER' AICHAMBUA SAFU YA ULINZI YA SIMBA SC
Sunday, December 30, 2018
SIMBA ILIYOTAMBA MWAKA 1993 HADI KUFIKA FAINALI KOMBE LA CAF
Sunday, December 30, 2018
Kikosi cha Simba SC kilichotamba katika iliyokuwa michuano ya Kombe la CAF hadi kufika fainali mwaka 1993; Waliosimama kutoka kulia ni Mf...
MTIBWA SUGAR 2-0 AZAM FC (LIGI KUU TZ BARA)
Sunday, December 30, 2018
MAHOJIANO MAALUM BIN ZUBEIRY NA KASONGO ATHUMANI MGAYA
Sunday, December 30, 2018
SIMBA SC 3-0 SINGIDA UNITED (LIGI KUU TZ BARA)
Sunday, December 30, 2018
MBEYA CITY 1-2 YANGA SC (LIGI KUU TZ BARA)
Sunday, December 30, 2018
Saturday, December 29, 2018
FIRMINO APIGA HAT TRICK LIVERPOOL YAICHAPA ARSENAL 5-1
Saturday, December 29, 2018
Roberto Firmino akipongezwa na wachezaji wenzake, Jordan Henderson (kushoto), Xherdan Shaqiri (wa pili kuia) na Mohamed Salah baada ya ku...
RONALDO AFUNGA MAWILI JUVENTUS YAZIDI KUPAA SERIE A
Saturday, December 29, 2018
Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Juventus dakika ya pili akimalizia pasi ya Paulo Dybala na dakika ya 65 kw...
KICHUYA AFUNGA MAWILI SIMBA SC YAISHINDILIA SINGIDA UNITED 3-0 TAIFA
Saturday, December 29, 2018
Na Sada Salmin, DAR ES SALAAM SIMBA SC imeonyesha bado imo kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya ushindi wa mabao 3...
AZAM YAANZA KUJITOA MBIO ZA UBINGWA, YACHAPWA 2-0 NA MTIBWA MANUNGU
Saturday, December 29, 2018
Na Mwandishi Wetu, MOROGORO TIMU ya Azam FC imeanza kujiondoa kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuchapwa mabao ...
YANGA YAENDELEZA WIMBI LA USHINDI LIGI KUU, YAICHAPA MBEYA CITY 2-1 SOKOINE
Saturday, December 29, 2018
Na Gwamaka Mwankota, MBEYA YANGA SC imeendeleza wimbi la ushindi katika Ligi Kuu ya Tanzania Bara baada ya kuichapa mabao 2-1 Mbeya City k...
Friday, December 28, 2018
AFRIKA MASHARIKI YAPEWA VIGOGO KOMBE LA SHIRIKISHO
Friday, December 28, 2018
TIMU za Afrika Mashariki, Gor Mahia ya Kenya, Vipers SC na KCCA ya Uganda zimepangiwa wapinzani wagumu katika mechi za mchujo wa kuwania ku...
TOFAUTI YA SIMBA SC NA WAPINZANI WAKE KUNDI D LIGI YA MABINGWA
Friday, December 28, 2018
Na Mahmoud Zubeiry, DAR ES SALAAM KLABU ya Simba ya Tanzania imepangwa Kundi D pamoja na JS Saoura ya Algeria, AS Vita ya Jamhuri ya Kidem...
SIMBA YAPANGWA NA AL AHLY, VITA NA TIMU YA ULIMWENGU LIGI YA MABINGWA
Friday, December 28, 2018
Na Mwandishi Wetu, CAIRO KLABU ya Simba ya Tanzania imepangwa Kundi D pamoja na JS Saoura ya Algeria, AS Vita ya Jamhuri ya Kidemokrasia y...
KAGERA YAICHAPA JKT, PRISONS YALAZIMISHWA SARE NA COASTAL SOKOINE
Friday, December 28, 2018
Na Mwandishi Wetu, BUKOBA TIMU ya Kagera Sugar imeibuka na ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Tanzania katika mchezo wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara...
LIVERPOOL WAKO TAYARI KWA MECHI NA ARSENAL KESHO ANFIELD
Friday, December 28, 2018
Xherdan Shaqiri akifurahia na mchezaji mwenzake, Sadio Mane wakati wa mazoezi ya Liverpool kujiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England dhi...
Thursday, December 27, 2018
SAMATTA AENDELEZA MOTO WA MABAO GENK IKISHINDA 3-1 LIGI YA UBELGIJI
Thursday, December 27, 2018
Na Mwandishi Wetu, GENK MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Ally Samatta jana ameendeleza makali yake ya kufunga, timu yake, KRC...
LIGI KUU YA WANAWAKE TANZANIA BARA KUANZA JUMAMOSI
Thursday, December 27, 2018
Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM LIGI Kuu ya Wanawake ya Serengeti Premium Lite inatarajia kuanza Jumamosi ya Desemba 29, 2018 ikishirikis...
HAZARD AFIKISHA MABAO 100 CHELSEA IKIICHAPA 2-1 WATFORD
Thursday, December 27, 2018
Mshambuliaji Eden Hazard akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la kwanza dakika ya 45 na ushei, likiwa bao lake la 100 tangu ajiung...
ARSENAL WAAMBULIA SARE KWA BRIGHTON & HOVE ALBION, 1-1
Thursday, December 27, 2018
Mshambuliaji wa Arsenal, Pierre-Emerick Aubameyang akimiliki mpira mbele ya mchezaji wa Brighton & Hove Albion katika mchezo wa Ligi ...
LEICESTER CITY YAIPIGA MANCHESTER CITY 2-1 KING POWER
Thursday, December 27, 2018
Wilfried Ndidi wa Leicester City akiuwahi mpira dhidi ya Kevin De Bruyne katika mchezo wa Ligi Kuu ya England jana Uwanja wa King Power m...
LIVEROOOL YAZIDI 'KUPOTELEA' KILELENI LIGI KUU ENGLAND
Thursday, December 27, 2018
Mshambuliaji Mohamed 'Mo' Salah akishangilia baada ya kuifungia Liverpool bao la pili kwa penalti dakika ya 47 katika ushindi wa ...
POGBA ALIPOFUNGA MAWILI MAN UNITED IKISHINDA 3-1
Thursday, December 27, 2018
Paul Pogba akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili Manchester United jana dakika za 64 na 78 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Huddersf...
Subscribe to:
Posts (Atom)