// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ZAMOYONI MOGELLA ENZI ZAKE YANGA SC ALIKUWA MOTO KAMA HIVI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ZAMOYONI MOGELLA ENZI ZAKE YANGA SC ALIKUWA MOTO KAMA HIVI - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Sunday, November 18, 2018

        ZAMOYONI MOGELLA ENZI ZAKE YANGA SC ALIKUWA MOTO KAMA HIVI

        Kiungo mshambuliaji wa Yanga SC, Zamoyoni Kondo Mogella aliyevuma kwa majina ya utani ya Golden Boy na DHL akimtoka beki wa Small Simba ya Zanzibar katika mchezo wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati mwaka 1992 Uwanja wa Amaan, Zanzibar. Small Simba ilishinda 2-1
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: ZAMOYONI MOGELLA ENZI ZAKE YANGA SC ALIKUWA MOTO KAMA HIVI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry