// Disable text selection (not fully reliable)
function disableSelection(element) {
element.setAttribute('unselectable', 'on');
element.style.userSelect = 'none';
element.style.MozUserSelect = 'none';
element.style.webkitUserSelect = 'none';
}
// Apply to the entire document body
document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() {
disableSelection(document.body);
});
URENO YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA POLAND LIGI YA MATAIFA YA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINEURENO YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA POLAND LIGI YA MATAIFA YA ULAYA - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
URENO YALAZIMISHWA SARE YA 1-1 NA POLAND LIGI YA MATAIFA YA ULAYA
Kiungo wa Ureno, Rafael Alexandre 'Rafa' akimpiga tobo Bartosz Bereszynski wa Poland huku mchezaji mwenzake, Przemyslaw Frankowski akishuhudia katika mchezo wa Kundi la Tatu Ligi ya Mataifa ya Ulaya jana Uwanja wa Dom Afonso Henriques mjini Guimaraes timu hizo zikitoka sare ya 1-1. Andre Silva alianza kuifungia Ureno dakika ya 33 akimalizia pasi ya Renato Sanches, kabla ya Arkadiusz Milik kuisawazishia Poland kwa penalti dakika 66PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Zimbabwe Afcon hopes dashed after loss to Cameroon
-
Zimbabwe’s hopes of finishing the 2025 Africa Cup of Nations (AFCON)
qualifiers undefeated were dashed yesterday after a 2-1 defeat to Cameroon
at the Ah...
Edozie Njoku and the new APGA
-
By Ambrose Ododo it has been a long and tortuous journey for the birth of
the rebranded All Progressives Grand Alliance, APGA, and it looks like it
is go...
OMTO WAJA NA MAKUBWA 2024
-
Mkurugenzi wa Taasisi ya Uwezeshaji Wajasiriamali ya Open Mind and Thoughts
Organization (OMTO), Anna Haule akizungumza wakati mkutano wa kwanza wa
mwak...
Reports: Jack Wilshere set for Arsenal return
-
Former Arsenal midfielder Jack Wilshere has held talks with the north
London side on one of its vacant academy coaching roles. Under 23 manager
Per Mertes...
YANGA ‘KUPAA’ JUMANNE KUIFUATA MWADUI FC
-
MARA baada ya mchezo wa kirafiki dhidi ya Namungo Fc kwenye uwanja wa
Majaliwa, Lindi, siku ya jumapili, Kikosi cha Young Africans Sports Club,
kitareje...
0 comments:
Post a Comment