Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
REFA wa Tanzania Jonesya Rukyaa atachezesha mchezo wa nusu Fainali ya Afcon ya Wanawake inayoendelea nchini Ghana.
Rukyaa atakuwa Mwamuzi wa katikati kwenye mchezo wa South Africa dhidi ya Mali utakaochezwa kesho Novemba 27,2018 saa 12:30 jioni Cape Coast Sports Stadium.
Katika mchezo huo Rukyaa atasaidiwa na Mwamuzi msaidizi namba 1 Mona Mahmoud Atallah wa Misri,Mwamuzi msaidizi namba 2 Adia Isseu Cisse wa Senegal na Mwamuzi wa akiba Suavis Iratunga wa Burundi
Rukyaa mwenye beji ya FIFA ndio Mwamuzi pekee kutoka Tanzania aliyeteuliwa kuchezesha Fainali hizo za Afrika kwa Wanawake.

0 comments:
Post a Comment