Kiungo Mfaransa mwenye asili ya Mali, N’Golo Kante akionyesha dole gumba kwa furaha ya kusaini mkataba mpya wa miaka mitano kuendelea kuichezea Chelsea hadi mwaka 2023 kwa mshahara wa Pauni 290,000 kwa wiki na kuwakatisha tamaa Paris Saint-Germain waliokuwa wanamtaka mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 27 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Erik Spoelstra: 'We Want' Jimmy Butler to Stay with Heat amid NBA Trade
Rumors
-
While there have been rumors that the Miami Heat want to trade star forward
Jimmy Butler, head coach Erik Spoelstra made his stance clear that he wants
to…
14 minutes ago
0 comments:
Post a Comment