Kiungo wa Real Madrid, Luka Modric akijaribu kuutelezea mpira kuurejesha uwanjani leo katika mchezo wa La Liga dhidi ya wenyeji, Eibar 3-0 Uwanja wa Manispaa ya Ipurua. Eibar imeshinda 3-0 mabao yake yakifungwa na Gonzalo Escalante dakika ya 16, Sergi Enrich dakika ya 52 na Kike dakika ya 57 huo mchezo wa kwanza timu hiyo inapoteza chini ya kocha mpya, Santiago Solari PICHA ZAIDI GONGA HAPA
2024/25 Ghana Premier League: Week 15 Match Report – Legon Cities 0-1
Aduana Stars
-
Aduana Stars claimed their first away win of the season after beating
bottom-placed Legon Cities at University of Ghana Sports Stadium on
Thursday, Decembe...
34 minutes ago
0 comments:
Post a Comment