// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); HATUA YA AWALI MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUPIGWA KATI YA DESEMBA 3 NA 5 MWAKA HUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE HATUA YA AWALI MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUPIGWA KATI YA DESEMBA 3 NA 5 MWAKA HUU - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Thursday, November 29, 2018

    HATUA YA AWALI MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUPIGWA KATI YA DESEMBA 3 NA 5 MWAKA HUU

    Na Mwandishi Wetu, DAR ES SALAAM
    HATUA ya awali ya Kombe la Shirikisho la Azam (ASFC)ASFC inatarajia kuchezwa kati ya Desemba 3na 5, mwaka.
    Hatua hiyo ya awali itashirikisha timu 36, Raundi ya Kwanza itachezwa kati ya Disemba 8-9,2018 ikishirikisha timu 32.
    Timu 40 zitashiriki katika raundi ya Pili itakayochezwa kati ya Disemba 14-16, 2018 na Bingwa mtetezi wa mashindano hayo ni timu ya Mtibwa Sugar ambayo ilicheza Fainali na timu ya Singida United kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha. 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: HATUA YA AWALI MICHUANO YA KOMBE LA SHIRIKISHO LA AZAM KUPIGWA KATI YA DESEMBA 3 NA 5 MWAKA HUU Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top