// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); ENGLAND YAICHAPA MAREKANI 3-0 MECHI YA KIRAFIKI WEMBLEY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE ENGLAND YAICHAPA MAREKANI 3-0 MECHI YA KIRAFIKI WEMBLEY - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

    Friday, November 16, 2018

    ENGLAND YAICHAPA MAREKANI 3-0 MECHI YA KIRAFIKI WEMBLEY

    Wachezaji wa England wakipongezana baada ya kupata bao la tatu katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Marekani, mabao ya Jesse Lingard dakika ya 25, Trent Alexander-Arnold dakika ya 27 na Callum Wilson dakika ya 77 kwenye mchezo wa kirafiki jana Uwanja wa Wembley mjini London 
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: ENGLAND YAICHAPA MAREKANI 3-0 MECHI YA KIRAFIKI WEMBLEY Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top