Kiungo Cesc Fabregas akishangilia baada ya kuifungia Chelsea bao la tatu dakika ya 41 katika ushindi wa 3-2 dhidi ya Derby County ya kocha Frank Lampard kwenye mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Ligi England, maarufu kama Carabao Cup. Mabao mengine ya Chelsea yalifungwa na Fikayo Tomori dakika ya tano na Richard Keogh dakika ya 21 wote wakijifunga huku mabao ya Derby yakifungwa na Jack Marriott dakika ya tisa na Martyn Waghorn dakika ya 27 na sasa The Blues watawakaribisha Bournemouth katika Robo Fainali PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Donald Trump names ex-NFL player as ambassador to the Bahamas despite viral
gaffe at Republican rally
-
Trump made the announcement Tuesday in a post on Truth Social, his social
media website, describing the 62-year-old as 'a successful businessman.'
35 minutes ago
0 comments:
Post a Comment