Gareth Bale akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya 47 kabla ya Lucas Vazquez kufunga la pili dakika ya 59 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya AS Roma usiku wa jana Uwanja wa Olimpico mjini Roma kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya.
Kwa matokeo hayo, Real Madrid inamaliza na pointi 12, ikifuatiwa na Roma yenye pointi tisa na zote zinafuzu hatua ya 16 Bora zikizipiku Viktoria Plzen na CSKA Moskva zilizomaliza na pointi nne kila moja PICHA ZAIDI GONGA HAPA

0 comments:
Post a Comment