// Disable text selection (not fully reliable) function disableSelection(element) { element.setAttribute('unselectable', 'on'); element.style.userSelect = 'none'; element.style.MozUserSelect = 'none'; element.style.webkitUserSelect = 'none'; } // Apply to the entire document body document.addEventListener('DOMContentLoaded', function() { disableSelection(document.body); }); WELBECK AING'ARISHA ARSENAL, YASHINDA MECHI YA 11 MFULULIZO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE WELBECK AING'ARISHA ARSENAL, YASHINDA MECHI YA 11 MFULULIZO - BIN ZUBEIRY SPORTS - ONLINE
  • HABARI MPYA

        Friday, October 26, 2018

        WELBECK AING'ARISHA ARSENAL, YASHINDA MECHI YA 11 MFULULIZO

        Mshambuliaji Danny Welbeck akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao pekee dakika ya 77 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sporting Lisbon kwenye mchezo wa Kundi E Europa League usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade, huo ukiwa ushindi wa 11 mfululizo kwa kikosi cha kocha Unai Emery 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: WELBECK AING'ARISHA ARSENAL, YASHINDA MECHI YA 11 MFULULIZO Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry