• HABARI MPYA

        Friday, October 19, 2018

        VAN DIJK NA SALAH MAZOEZINI LIVERPOOL IKIJIANDAA NA MECHI

        Beki Mholanzi Virgil van Dijk (kushoto) na mshambuliaji Mmisri Mohamed Salah wakiwa mazoezini na wachezaji wenzao wa Liverpool baada ya kurejea kutoka kwenye timu za taifa wakijiandaa na mchezo wa Ligi Kuu ya England dhidi ya wenyeji, Huddersfield Town kesho Uwanja wa The John Smith 
        • Blogger Comments
        • Facebook Comments

        0 comments:

        Item Reviewed: VAN DIJK NA SALAH MAZOEZINI LIVERPOOL IKIJIANDAA NA MECHI Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry