Kinda Muingereza, Jadon Sancho akimzunguka kipa wa Atletico Madrid, Jan Oblak kabla ya kuifungia Borussia Dortmund bao la tatu dakika ya 83 katika ushindi wa 4-0 kwenye mchezo wa Kundi A Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund usiku wa jana. Mabao mengine Borussia Dortmund yalifungwa na Axel Witsel dakika ya 38, Raphael Guerreiro dakika ya 73 na 89 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Report: United Women 2 Everton 0
-
Marc Skinner's Reds go into the April international break with a win that
takes us closer to European qualification.
24 minutes ago
0 comments:
Post a Comment