Kiungo Mbrazil, Marcelo akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Real Madrid dakika ya 55 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Viktoria Plzen ya Jamhuri ya Czech usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya. Bao la kwanza la Real Madrid lilifungwa na Mfaransa Karim Benzema dakika ya 11, wakati la wageni lilifungwa na Patrik Hrosovsky dakika ya 78 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
How to watch Arsenal v Fulham live on TV
-
Find out how to watch Tuesday's game against Fulham wherever you are in the
world
2 minutes ago
0 comments:
Post a Comment