Paul Pogba na Anthony Martial wakishangilia baada ya wote kufunga katika ushindi wa 2-1wa Manchester United dhidi ya Everton leo Uwanja wa Old Trafford kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England. Pogba alifunga bao la kwanza dakika ya 27 akimalizia mpira uliorudi baada ya Jordan Pickford kuokoa mkwajue wake wa penalti kabla ya kumpasia Martial kufunga la pili dakika ya 49, wakati la Everton limefungwa na Gylfi Sigurdsson kwa penalti pia dakika ya 77 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Captain's Column: Maya keen to maintain momentum
-
United Women's objective today is to beat Everton and take a win into the
international break, says Maya.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment