Mshambuliaji Mbrazil, Neymar da Silva Santos Junior, maarufu tu kama Neymar akishangilia baada ya kuifungia mabao matatu Paris Saint-Germain dakika za 20, 22 na 81 katika ushindi wa 6-1 dhidi ya Red Star Belgrade kwenye mchezo wa Kundi C Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa. Mabao mengine ya PSG yamefungwa na Edinson Cavani dakika ya 37, Ángel Di María dakika ya 41 na Kylian Mbappe dakika ya 70 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Monaco submit second offer for West Ham star Edson Alvarez - after initial
loan approach was rebuffed by the Hammers
-
SIMON JONES: Monaco have made a new proposal to West Ham for midfielder
Edson Alvarez after their initial loan request was rejected for the Mexico
internat...
20 minutes ago
0 comments:
Post a Comment