Kocha wa Manchester United, Jose Mourinho akidhibitiwa asiende kugombana na mmoja wa makocha wasaidizi wa Chelsea, Marco Ianni leo katika mchezo wa Ligi Kuu ya England baina ya timu hizo uliomalizika kwa sare ya 2-2 Uwanja wa Stamford Bridge mjini London. Mourinho alikasirishwa na kitendo cha Ianni kwenda kushangilia mbele yake baada ya Chelsea kupata bao la kusawazisha dakika ya mwisho PICHA ZAIDI GONGA HAPA
'Result is not what we wanted' - games pile up for Palace
-
The games are piling up for Crystal Palace who face a two-legged play-off
in the Conference League after failing to qualify automatically for the
last 16.
49 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment