Lionel Messi akishangilia baada ya kuifungia Barcelona mabao mawili dakika za 56 na 90 katika ushindi wa 4-2 dhidi ya wenyeji, Tottenham Hotspur kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Wembley mjini London. Mabao mengine ya Barca yamefungwa na Philippe Coutinho dakika ya pili na Ivan Rakitic dakika ya 28, wakati ya Spurs yamefungwa na Harry Kane dakika ya 52 na Erik Lamela dakika ya 66 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
NFL fans all say the same thing as Commanders clinch first playoff win
since 2006 with last-gasp lucky play
-
NFL fans have all said the same thing after the Washington Commanders won
their first playoff game in nearly two decades over the Tampa Bay
Buccaneers on S...
45 minutes ago
0 comments:
Post a Comment