Kylian Mbappe akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza PSG dakika ya 65 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Marseille kwenye mechi ya mahasimu wa Ligue 1, Ufaransa maarufu kama Le Classique usiku wa jana Uwanja wa Orange Velodrome mjini Marseille. Bao la pili la PSG limefungwa na Julian Draxler dakika ya 90 na ushei PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Opposition watch: Keeping a close eye on Forest
-
Tuesday's Premier League opponents progressed in the Emirates FA Cup on
Saturday.
1 hour ago
0 comments:
Post a Comment